Habari za Mastaa

Ni Diamond na Zari kwenye muonekano mwingine… (Pichaz)

on

zarina1

Hizi pichaz zimechukua headlines sana Instagram, zinamwonesha Diamond Platnumz akiwa na mpenzi wake, Zari the Bosslady.

Zari ana ujauzito na huenda time yoyote tukafikiwa na good news ya kujifungua kwake.

zari3

zarina1

zari4

zari2

zari5

Katika akaunti ya Zari aliweka picha na kuandika ujumbe huu >>>> “Kwa raha zetu…… vaeni madera, fungeni mikanda mpite kimya kimya Keeping it sexy and classy.#BabyBumpPhotoShoot ” >>>> @zarithebosslady 

daizar

Wakati wa Tuzo za MTV MAMA 2015 Afrika Kusini, Diamond alifanya Interview Exclusivena #AyoTV, alizungumzia pia kuhusu mtoto wanaemtarajia yeye na mpenzi wake Zari.

Nitakutumia stori zote ukibonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Tupia Comments