Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Picha: Azania Group wazindua chapa yake mpya ya Unga, DC Jokate kushuhudia anena haya
Share
Notification Show More
Latest News
Jorginho aondoka Chelsea na kusaini Arsenal
February 1, 2023
Rais Samia ashtukia mchezo mchafu hela za Plea Bargain
January 31, 2023
Rais Samia ainyooshea kidole Polisi, Magereza
January 31, 2023
Waliokutwa na meno ya tembo wahukumiwa miaka 20 jela (+video)
January 31, 2023
Maji ya ajabu yanayotoka bombani Johannesburg
January 31, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Picha: Azania Group wazindua chapa yake mpya ya Unga, DC Jokate kushuhudia anena haya
Top Stories

Picha: Azania Group wazindua chapa yake mpya ya Unga, DC Jokate kushuhudia anena haya

September 30, 2022
Share
3 Min Read
SHARE

Azania Group ni moja ya chapa kubwa na maarufu ya bidhaa za chakula ambapo leo imezindua unga mpya wenye thamani na ubora wa hali ya juu na wenye ushawishi kwa watumiaji wake kutumia unga mweupe, laini na wenye kudumu kwa matumizi ya muda mrefu na kukidhi aina mbalimbali za mapishi ,Azania Group imezindua chapa yake mpya ya unga iliyopewa jina la AZANIA – PREMIUM HOME FOUR (PHF).

Akizungumza na Vyombo vya Habari Mkurugenzi wa Biashara wa Azania Group Bw Joel Laiser alisema….“Unga wetu mpya wa Azania PHF unakuja kama sehemu ya utafiti uliofanywa na kugundua uhitaji wake hivyo ili kuleta suluhu na kuleta utofauti kwenye soko na urahisi kwa watumiaji, Azania tumeendelea vyema kuja na bidhaa hii kwani mara nyingi watu wengi wanabanwa sana na muda na kushindwa kuzalisha bidhaa zenye ubora kama vile Maandazi, Chapati na vitafunio vingi zaidi na vya aina mbalimbali hivyo bidhaa yetu hii itatoa nafasi ya kuzalisha vitafunio vingi zaidi kuliko vile vilivyozoeleka. ”-  Bw Joel Laiser 

Uzinduzi huo ulipambwa na uwepo wa Mgeni Rasmi ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe.Jokate Mwegelo ambaye amepongeza juhudi za Azania Group katika soko la uzalishaji bidhaa za chakula.

“Nimefurahi kujumuika na Azania Group katika tukio hili adhimu na niwapongeze kwa kazi kubwa na mchango mkubwa wanaoutoa katika upatikanaji wa bidhaa za chakula na ,uthibitisho wake ni baada ya ujio wa bidhaa yao mpya ya Unga wa Ngano kwa ajili ya kupikia vitu mbalimbali kama vitafunwa na kurahisisha huduma na kazi za upishi kwa watumiaji mbalimbali hususani kwa mama zangu ambao ni Mama lishe lakini pia wanufaika(walaji) wengine na kipekee kabisa naomba niwashukuru kwa kuajiri idadi kubwa ya wafanyakazi kutoka katika wilaya yetu ya Temeke”- DC Jokate Mwegelo

Azania Group, imehitimisha kwa kusema “Unga wa Azania PHF utapatikana katika maduka yote Tanzania na yaliyopo mipakani, Sisi kama Azania group tutaendelea kufanya kazi kwa bidii ili kutoa bidhaa bora, zenye suluhu za huduma kwa watumiaji wetu”

Uzinduzi huo umemalizika kwa wageni waalikwa wote kujivinjari kwa vitafunwa tofauti vilivyotengenezwa na Mama lishe kwa kutumia Unga mpya wa Azania PHF.

 

You Might Also Like

Rais Samia ashtukia mchezo mchafu hela za Plea Bargain

Rais Samia ainyooshea kidole Polisi, Magereza

Waliokutwa na meno ya tembo wahukumiwa miaka 20 jela (+video)

Maji ya ajabu yanayotoka bombani Johannesburg

Biden akataa kutuma ndege za kivita Ukraine

Edwin TZA September 30, 2022
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Video: Alikiba amjibu Baraka the Prince, “Sawa kama ananichukia, mimi sijali, moyo wake umechagua”
Next Article Gumzo vumbi la Congo na supu ya Pweza, Rais Samia ashindwa kujizuia “Tunataka mashababi” (video+)
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Jorginho aondoka Chelsea na kusaini Arsenal
Sports February 1, 2023
Rais Samia ashtukia mchezo mchafu hela za Plea Bargain
Top Stories January 31, 2023
Rais Samia ainyooshea kidole Polisi, Magereza
Top Stories January 31, 2023
Waliokutwa na meno ya tembo wahukumiwa miaka 20 jela (+video)
Top Stories January 31, 2023

You Might also Like

Top Stories

Rais Samia ashtukia mchezo mchafu hela za Plea Bargain

January 31, 2023
Top Stories

Rais Samia ainyooshea kidole Polisi, Magereza

January 31, 2023
Top Stories

Maji ya ajabu yanayotoka bombani Johannesburg

January 31, 2023
Top Stories

Biden akataa kutuma ndege za kivita Ukraine

January 31, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?