AyoTV

Video ya maamuzi waliofanya ZFA kuhusu muamuzi wa pembeni aliyekataa goli la Mtibwa dhidi ya Azam FC …

on

January 3 ndio siku ambayo Kombe la Mapinduzi lilianza visiwani Zanzibar kwa michezo miwili kupigwa kwa nyakati mbili tofauti katika uwanja Amaan, ila mchezo wa pili wa Kundi B uliozikutanisha timu za Azam FC dhidi ya Mtibwa Sugar na kumalizika kwa sare ya goli 1-1, uliingia kwenye headlines baada ya muamuzi wa pembeni Dalila Jaffar Mtwana kunyoosha kibendera juu ba kuashiria kuwa ni offside goli la pili la Mtibwa na kuzua maneno mengi. January 5 kamati ya ZFA ilitoa uamuzi huu juu ya muamuzi huyo cheki video ya goli alilokataa na adhabu aliyopewa.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Tupia Comments