Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Mastaa Fid Q, Gabo na wengine wametangazwa washindi wa ZIFF 2016
Share
Notification Show More
Latest News
Mwili waopolewa mto Msimbazi DSM, Jeshi la Zimamoto (VideO+)
March 22, 2023
Rais Samia atoa Bilioni 196.6 Mlele Kwa miaka miwili
March 22, 2023
Video: Rais Samia amuibua Ally Hapi, Afunguka haya
March 22, 2023
Mfungo wa Ramadhan Kaya 1000 zapatiwa vyakula “Tunarudisha kwa Jamii”
March 22, 2023
Jamaa aangusha gari Mtaroni, Dereva haonekani, mashuhuda wasimulia, ‘Alikuwa anaongea na simu’
March 22, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Habari za Mastaa > Mastaa Fid Q, Gabo na wengine wametangazwa washindi wa ZIFF 2016
Habari za Mastaa

Mastaa Fid Q, Gabo na wengine wametangazwa washindi wa ZIFF 2016

July 16, 2016
Share
0 Min Read
SHARE

July 16 2016 tamasha la Zanzibar International Film Festival ‘ZIFF’ limefanyika Zanzibar huku likiwakusanya watu kutoka mataifa mbalimbali duniani, hili ni tamasha ambalo limekuwa likijikita zaidi katika kukuza sanaa ya filamu nchini na kwa leo limewatunuku tuzo baadhi ya mastaa ambao baadhi yao nimekusogezea hapa chini.

Msanii Fid Q ameshinda tuzo ya best music video from east Africa kupitia wimbo wa walk it off #ZIFFawards2016 pic.twitter.com/46am0GcEt6

— millardayo (@millardayo) July 16, 2016

Mshindi wa tuzo ya mtu aliyetukuka ni Farouque Abdela ambaye ni mzanzibar #TuzozaZIFF2016 pic.twitter.com/5y11Bc66ct

— millardayo (@millardayo) July 16, 2016

Mshindi wa tuzo ya best producer ni Amil Shivji kupitia filamu ya Aisha #TuzozaZIFF2016 pic.twitter.com/eFdyDxEb3s

— millardayo (@millardayo) July 16, 2016

Mshindi wa tuzo ya best actress ni Godliver Gordian kupitia filamu ya Aisha #TuzozaZIFF2016 pic.twitter.com/2RSFBYXgSm

— millardayo (@millardayo) July 16, 2016

Mshindi wa tuzo ya best editor ni Monise Cheyo kupitia filamu ya Aisha #TuzozaZIFF2016 pic.twitter.com/RUhLVOcRdW

— millardayo (@millardayo) July 16, 2016

Mshindi wa best cinematographer ni Freddy Feruzi kupitia filamu ya Kariakoo #TuzozaZIFF2016 pic.twitter.com/6CQuIDpJkB

— millardayo (@millardayo) July 16, 2016

Katika tuzo ya best director mshindi ni Chande Omar kupitia filamu ya Aisha #TuzozaZIFF2016 pic.twitter.com/YZohOagBbU

— millardayo (@millardayo) July 16, 2016

Msindi wa bongo movie best actor ni Salim Ahmed maarufu Gabo kupitia filamu ya safari ya Gwalu #TuzozaZIFF pic.twitter.com/qgA0ymfGc5

— millardayo (@millardayo) July 16, 2016

ULIYAKOSA HAYA MACHACHE YA KUYAJUA KUHUSU ZIFF 2016

You Might Also Like

Kamati ya Bunge ya Miundombinu imeridhishwa na ujenzi wa BRT

Sina Tatizo na yeye, mteule wa Rais hanuniwi” Steve Nyerere Kafunguka (+video)

Jennifer Lopez asherehekea miaka 15 ya mapacha wake, aonyesha muonekano wake mpya

Rihanna & Asap rocky waipanga ndoa yao ya siri , barbados hivi karibuni

TCDC na Makakati kukuza biashara kidijitali

TAGGED: habari daily, mastaa wa bongo, tuzo
Admin July 16, 2016
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article VIDEO: Wanafunzi elimu ya juu walivyotoa masikitiko yao kwa bodi ya mikopo
Next Article VIDEO: Magoli ya mechi ya Yanga vs Medeama SC July 16 2016, Full Time 1-1
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Mwili waopolewa mto Msimbazi DSM, Jeshi la Zimamoto (VideO+)
Top Stories March 22, 2023
Rais Samia atoa Bilioni 196.6 Mlele Kwa miaka miwili
Top Stories March 22, 2023
Video: Rais Samia amuibua Ally Hapi, Afunguka haya
Top Stories March 22, 2023
Mfungo wa Ramadhan Kaya 1000 zapatiwa vyakula “Tunarudisha kwa Jamii”
Top Stories March 22, 2023

You Might also Like

Top Stories

Mwili waopolewa mto Msimbazi DSM, Jeshi la Zimamoto (VideO+)

March 22, 2023
Top Stories

Rais Samia atoa Bilioni 196.6 Mlele Kwa miaka miwili

March 22, 2023
Top Stories

Video: Rais Samia amuibua Ally Hapi, Afunguka haya

March 22, 2023
Top Stories

Jamaa aangusha gari Mtaroni, Dereva haonekani, mashuhuda wasimulia, ‘Alikuwa anaongea na simu’

March 22, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?