AyoTV

VIDEO:Adolf Richard kawaweza Simba SC “Mpira mchezo wa kiume”

on

Kocha wa Tanzania Prisons Adolf Richard ameongea na waandishi wa habari baada ya timu yake kuendelea kulinda rekodi yake ya kutopoteza mchezo msimu huu, Adolf ameeleza hayo baada ya kufanikiwa timu yake kugawana point na Simba SC ambao ni Mabingwa watetezi kwa sare tasa 0-0.

“Sisi tuna nidhamu ya kuzuia tunaweza kuzuia vizuri na tunaweza kushambulia, kama ukingalia kipindi cha kwanza tumetengeneza nafasi tatu na kipindi cha pili nafasi mbili, hata hivyo tumepata wakati mgumu tumecheza na timu nzuri”>>>Adolf Richard

VIDEO: BAADA YA KUFUKUZWA AYO TV IMEMFUATA ZAHERA KWAKE “SIJAPEWA BARUA”

Soma na hizi

Tupia Comments