Top Stories

Ziara ya Rais wa Ethiopia, JPM amkaribisha (+video)

on

Rais wa Ethiopia, Zahle-Work Zewde, amewasili nchini kwa ziara ya kikazi ya siku moja. Apokelewa na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli katika uwanja wa ndege wa Geita uliopo Chato.

Soma na hizi

Tupia Comments