Michezo

Zidane kamuondoa nyota huyu kikosini kutokana na ongezeko la uzito

on

Real Madrid Castilla ni timu ya pili au ya wachezaji wa akiba wa klabu ya Real Madrid ya Hispania lakini ni sehemu ya Academy ya klabu ya Real Madrid na hushiriki katika Ligi ya Segunda Division B. Meneja wa Real Madrid Castilla ni mchezaji wa zamani wa kimataifa wa Ufaransa ambaye amewahi kuitumikia klabu ya Real Madrid Zinedine Zidane.

eero-main

Zidane kushoto, upande wa kulia Markkanen

Timu hiyo ya wachezaji wa akiba kupitia kwa meneja wake Zinedine Zidane imemuacha nyota wake wa Real Madrid Castilla Eero Markkanen kutokana na ongezeko la uzito, Markkanen ameongezeka uzito wa Kg 18.

At43Ln7

Eero Markkanen

Eero-Markkanen

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

Tupia Comments