Habari za Mastaa

Godzilla anayo furaha kukualika kusikiliza hii single yake mpya…-‘I get high’ (+Audio)

on

Ikiwa tunaelekea kuumaliza mwaka 2015, Leo Dec 15 msanii wa muziki wa Hip Hop Golden Mbunda a.k.a Godzilla amekuja na hii zawadi ya funga mwaka aliyoipa jina la ‘I Get High’ iliyotengenezwa na Producer Pancho Latino.

Ukitaka kuipata kwa urahisi ngoma hii unaweza  kubonyeza kwenye link hii hapa>>bit.ly/iGetHigh

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenyeTwitterFBInstagram na YouTUBE kwa kubonyeza hapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments