Habari za Mastaa

Umeisikia single mpya Diamond kachana? ‘mtoto wa mama’ na Godzilla.

on

Screen Shot 2014-09-03 at 1.28.41 AMKutoka kwenye kiwanda cha bongofleva right now ni dakika nyingine 3 za kusikiliza mdundo mpya ambao Diamond kachana humo ndani yake ikiwa ni project ya Producer Zachaa wa Mj Records.

Baada ya kuusikiliza huu wimbo itakua poa ukituachia maoni yako kwenye comments hapa chini

Tupia Comments