Ukumbi wa starehe wa Kitambaa Cheupe ulipo Tabata muda huu unateketea kwa muda huu tayari Zimamoto wamefika na jitihada za kuuzima zinaendelea