fB insta twitter

Maneno 105 yaliyoandikwa na Zitto Kabwe kwenye mtandao wa Facebook na Twitter…?

on

Zitto Kabwe ni Mbunge wa Kigoma Mjini kupitia  chama cha ACT Wazalendo february 28 amezichukua headline tena baada ya kuandika maneno yafuatayo kwenye mitandao yake ya kijamii (Facebook na Twitter).

Mlima Kilimanjaro Kenya, Samatta Botswana/Tunisia/DR Congo/ Olduvai Gorge Kenya DiamondPlatnumz Kenya nk ni matokeo ya kutoitangaza nchi. Nchi kuwa Brand sio kazi ya bahati nasibu. Ni kazi inayofanywa sawa sawa na kuna watu kazi zao ni hizo tu na bajeti ya kubrand nchi ni kubwa. Leo mtu hawezi kusema ‘Okonkwo Tanzania ‘ wakati duniani vitabu vya Chinua Achebe vilitafsiriwa lugha 54 na mamilioni ya nakala kuuzwa. Fasihi hu’brand’ nchi. Michezo hubrand nchini. Matangazo ya Utalii hubrand nchi. Wanasiasa wenye heshima duniani hubrand nchi. Siku tukiacha porojo na kufanya kazi nchi itabrandika. Tuamue tu

zito zitto

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line yatiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments