Ajali

VIDEO: Zitto Kabwe kuhusu bajeti ya Serikali ‘hatukutegemea hivyo awamu ya tano’

on

April 27 2016 Mbunge wa Kigoma mjini Zitto Kabwe ambaye pia ni kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo alihojiwa na AyoTV nje ya bunge Dodoma na kuzungumza kuhusu bajeti ijayo ya serikali, mikopo na ishu nyingine nyeti, mtazame kwenye hii video hapa chini 

TATIZO LA VIJANA KUKOSA AJIRA HALIJAACHWA KIMYA BUNGENI LEO

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments