Top Stories

Zitto Kabwe amteua Membe kuwa Mshauri Mkuu wa ACT Wazalendo

on

Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe amemteua Bernard Membe kuwa Mshauri Mkuu wa chama na Emmanuel Mvula kuwa Mjumbe wa Kamati Kuu wa chama hicho kuanzia leo August 3 2020.

Amefanya uteuzi huo katika Kikao cha Halmashauri Kuu kilichofanyika leo Jijini DSM.

RAIS MAGUFULI APIGA SIMU, AONGEA NA SHILOLE “MNA SURA NZURI MMETISHA”

 

Soma na hizi

Tupia Comments