AyoTV

VIDEO: Maneno ya Zitto Kabwe kuhusu JPM kuingilia majukumu ya Mawaziri

on

April 25 2016 Chama cha ACT Wazalendo kimekutana katika Mkutano wa Halmashauri Kuu ya Chama jijini Dar es salaam. Katika hotuba yake Kiongozi Mkuu wa chama hicho na Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe amempongeza Rais John Magufuli kwa kuanza katika eneo la ufisadi ambalo ni muhimu sana ambalo anasema ni msingi mkubwa wa kuanzishwa chama chao.

Licha ya kumuunga mkono kwa hatua hizo anazozichukua lakini ameelezea namna Rais Magufuli ambavyo amekuwa akiingilia majukumu ya Mawaziri, Zitto amesema ……

>>>’tumekuwa tukimshuhudisa Rais amekuwa Waziri wa fedha yeye, amekuwa Waziri wa Ujenzi yeye, anesema hela za Uhuru toa weka barabara ya Mwenge, kwa mujibu wa kiongozi wa upinzani bungeni Wizara ambayo Rais alikuwa anaongoza mpaka sasa matumizi yake yamezidi mara nne’:- Zitto Kabwe

ULIIKOSA VIDEO YA MASWALI NA MAJIBU BUNGENI APRIL 25 2016? ANGALIA VIDEO HII HAAPA CHINI

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments