Top Stories

Zitto Kabwe kayasema haya kuhusu chama chake kuteua mgombea au kuunga mkono mgombea wa chama kingine

on

.

.

Baada ya chama cha Mapinduzi kupitisha majina matano kwenye tano bora ya Wagombea CCM nafasi ya Urais 2015 kupitia chama hicho.

Sasa kiongozi wa Chama Cha ACT Wazalendo, Mh Zitto Kabwe leo amefunguka kuhusu chama chake kumteua mgombea au kuunga mkono mgombea cha chama kingine.

Kupitia kwenye ukurasa wake wa twitter amewahabarisha wananchi kwa kusema…’Chama chetu kitateua mgombea au kuunga mkono mgombea wa chama kingine kwa maamuzi ya VIKAO vya chama. Kama Kiongozi wa chama sina mamlaka yeyote yale kutangaza mtu kuwa mgombea wetu’ – @zittokabwe

.

.

Hivi sasa Uongozi mzima wa Chama upo kwenye retreat ili kujipanga na uchaguzi. Hatuna mazungumzo wala makubaliano na mtu yeyote kutoka chama kingine kuhusu nafasi ya Urais. Mgombea wetu atapatikana kwa kupitia vikao vya chama chetu…’  -@zittokabwe

Tupia Comments