Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Alichokisema Zitto Kabwe kuhusiana na Kesi yake Mahakamani, tazama pia jibu alilotoa John Mnyika
Share
Notification Show More
Latest News
Picha: DC Halima Bulembo aungana na wakuu wa Idara, ‘Kutekeleza wajibu wao katika Utumishi’
June 2, 2023
Upinzani unashinikiza mageuzi mapya ya uchaguzi
June 2, 2023
Mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.
June 2, 2023
Nyota wa zamani wa Manchester United Lingard kuondoka Nottingham Forest
June 2, 2023
Serikali ya Congo na mahakama ya ICC zakubaliana kuimarisha ushirikiano
June 2, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Mix > Alichokisema Zitto Kabwe kuhusiana na Kesi yake Mahakamani, tazama pia jibu alilotoa John Mnyika
Mix

Alichokisema Zitto Kabwe kuhusiana na Kesi yake Mahakamani, tazama pia jibu alilotoa John Mnyika

January 2, 2014
Share
3 Min Read
SHARE

zitto2Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe leo ameingia kwenye headline kuhusiana na kile alichokiwasilisha kwenye mahakama kuu juu ya kupinga kujadiliwa kwenye kikao cha kamati kuu ya Chadema,Kikao ambacho kilikuwa kikutane kesho.

Kikao hicho kilikuwa na hoja mbalimbali ikiwa ni pamoja na hoja inayomhusu Zitto,Millardayo.com imepiga exclusive interview na Zitto Kabwe mara baada ya kutoka kwenye viwanja vya mahakama hiki ndicho alichokizungumza juu ya shauri lake alilopeleka mahakamani.

zitto1‘Tumekwenda mahakamani kwa ajili ya jambo moja tu kutaka haki itendeke kwa sababu mahakaama ndiyo chombo cha juu kabisa kwenye nchi yetu cha kuweza kutenda haki mara baada ya kamati kuu ya chama changu kufanya maamuzi ya  kunivua nafasi zangu ambayo niliandikiwa makosa 11’

‘Nilikata rufaa kwenye baraza kuu la chama ili baraza kuu liweze kuona kama kamati kuu ilifata taratibu za chama kufikia maamuzi yale japo mimi naamini haijafata taratibu za chama lakini kwa bahati mbaya viongozi wangu wa chama changu wameamua kuendelea na kikao cha kamati kuu’.

‘Hawajajibu barua yangu ya nia ya kukata rufaa na kuweza kupatiwa taarifa na mwenendo wa kikao ili niweze kukata rufaa kwa mujibu wa chama Kwa hiyo nimekwenda mahakani ili mahakama iweze kutoa maamuzi ya mimi kuweza kupata nafasi ya kusikilizwa na kujadiliwa’.

‘Nashukuru Jaji John Utamwa ametoa amri ya muda ya kuzuia kamati kuu ya chama kunijadili mpaka hapo Chadema watakapoweza kujibu hoja zilizotolewa na mwanasheria wangu Albert Msando’.

‘Kesho tunarudi mahakamani kwa ajili ya kuendelea na kuweza kupokea majibu kutoka Chadema lakini kikao cha kesho kamati kuu imezuiliwa na mahakama kujadili hoja yoyote inayonihusu,lakini pia mapingamizi yote mwanasheria wa Chadema Tundu Lissu aliyokua ameyaweka dhidi ya mwanasheria wangu Jaji ameyatupilia mbali kwa hiyo kesi inaendelea’.

‘Muhimu katika hili ni haki na mimi kama mtu ambaye siku zote natetea haki sasa ni fursa yangu kutetea haki yangu mwenyewe ya kuweza kusikilizwa  ya kutumia taratibu zote za chama katika hali ya kawaida baraza kuu la chama liitwe kwanza  lijadili jambo hili kabla ya kikao cha kamati kuu kuitwa’.

Hata hivyo Mbunge wa Ubungo John Mnyika aliijibu tweet yangu ya stori ya Amplifaya kuhusu Zitto Kabwe na hii ishu ya Mahakama.

Screen Shot 2014-01-03 at 2.45.34 AM

You Might Also Like

Wabunge wafurahishwa na utekelezwaji wa mradi wa bomba la mafuta ghafi EACOP

Profesa Mkenda kufungua maonesho ya Nane ya Tafiti na Ubunifu UDSM

Miaka 5 ya ITM, Serikali imeahidi kuadhimisha sekta ya rasilimali watu

Yanga, UNICEF na Serikali zaungana kutoa elimu Ugonjwa wa Kipindupindu

Msaada wa pikipiki kwa Polisi kulinda Watalii

Millard Ayo January 2, 2014
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Diamond Platnumz na Davido kwenye video moja? sehemu ya mzigo wa Nigeria iko hapa
Next Article Msikilize Mbwiga wa mbwiguke leo Jan 2
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Picha: DC Halima Bulembo aungana na wakuu wa Idara, ‘Kutekeleza wajibu wao katika Utumishi’
Top Stories June 2, 2023
Upinzani unashinikiza mageuzi mapya ya uchaguzi
Top Stories June 2, 2023
Mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.
Top Stories June 2, 2023
Nyota wa zamani wa Manchester United Lingard kuondoka Nottingham Forest
Sports June 2, 2023

You Might also Like

Top Stories

Mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.

June 2, 2023
Top Stories

Serikali ya Congo na mahakama ya ICC zakubaliana kuimarisha ushirikiano

June 2, 2023
Top Stories

Amnesty yaonya Iran dhidi ya Kunyonga kwa Kesi zinazohusiana na madawa ya kulevya

June 2, 2023
Top Stories

Elon Musk kwa mara nyingine tena ndiye mtu tajiri zaidi duniani

June 2, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?