AyoTV

VIDEO: Maoni ya Zitto Kabwe baada ya uteuzi wa Rais Magufuli leo

on

Baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli march 23, 2017  kufanya mabadiliko madogo kwenye Baraza la Mawaziri ambapo sehemu ya mabadiliko hayo ni kamteua Waziri mpya wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo. Mbunge wa Kigoma mjini, Zitto Kabwe ametoa maoni kuhusu mabadiliko hayo, Bonyeza play hapa chini kuitazama…

FULLVIDEO: Ripoti ya kamati ya Waziri Nape kuhusu Makonda kuvamia Clouds

Soma na hizi

Tupia Comments