Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: HEKAHEKA:Mwanamke aliyepokonywa mtoto wa miezi 10 mpaka leo ana miaka mitatu
Share
Notification Show More
Latest News
Waziri Dr Damas Ndumbaro na Rais TFF watinga AVIC Town kuzungumza na wachezaji wa Yanga SC
September 29, 2023
Askari polisi wanawake watakiwa kuchangamkia fursa za elimu
September 29, 2023
Ufanisi wa wataalamu waipaisha TBA
September 29, 2023
Mohbad: Polisi wa Lagos wamkamata Sam Larry ahusishwa na kifo cha Mohbad
September 29, 2023
Reece James kurejea kikosoini hivi karibuni- Chelsea
September 29, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > HekaHeka > HEKAHEKA:Mwanamke aliyepokonywa mtoto wa miezi 10 mpaka leo ana miaka mitatu
HekaHekaTop Stories

HEKAHEKA:Mwanamke aliyepokonywa mtoto wa miezi 10 mpaka leo ana miaka mitatu

December 18, 2017
Share
1 Min Read
SHARE

Hekaheka ya leo December 18, 2017 mtangazaji Geah Habibu katuletea hii inayomuhusu mwanamke ambaye alipokonywa mtoto akiwa na miezi 10 na mwanaume aliyezaa naye na mpaka sasa mtoto ana miaka mitatu huku mwanamke huyo akiwa ameshaenda sehemu mbalimbali kulalamika bila mafanikio.

Mwanamke huyo ambaye anaishi Tanga amesema  mwanaume aliyezaa naye amekuwa akimwambia kuwa hawezi kumuona mtoto huyo mpaka atakapofariki na mpaka sasa hajui mtoto wake alipo japo mumewe amekuwa akidai kuwa amempeleka mtoto huyo Afrika Kusini.

Bonyeza PLAY hapa chini kusikiliza FULL STORY..

HEKAHEKA: Geah Habib kamtafuta mjane aliyenyang’anywa mali na ndugu wa mume

You Might Also Like

Askari polisi wanawake watakiwa kuchangamkia fursa za elimu

Ufanisi wa wataalamu waipaisha TBA

Rais wa Urusi Vladimir Putin akutana na kamanda mkuu wa zamani wa Wagner Group

Flamengo ya Brazil yamtimua kocha Jorge Sampaoli huku wakimtazamia Tite

Wananchi wadai fidia ya Milioni 500 kwa Naibu Waziri wa Nishati

TAGGED: Hekaheka
Victor Kileo TZA December 18, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Alichokifanya DOGO JANJA Maisha Club baada ya kusema ataenda na UWOYA
Next Article Vitu alivyozungumza RC Mghwira alipofika chuo anachofundisha
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Waziri Dr Damas Ndumbaro na Rais TFF watinga AVIC Town kuzungumza na wachezaji wa Yanga SC
Sports September 29, 2023
Askari polisi wanawake watakiwa kuchangamkia fursa za elimu
Top Stories September 29, 2023
Ufanisi wa wataalamu waipaisha TBA
Top Stories September 29, 2023
Mohbad: Polisi wa Lagos wamkamata Sam Larry ahusishwa na kifo cha Mohbad
Entertainment September 29, 2023

You Might also Like

Top Stories

Askari polisi wanawake watakiwa kuchangamkia fursa za elimu

September 29, 2023
Top Stories

Ufanisi wa wataalamu waipaisha TBA

September 29, 2023
Sports

Reece James kurejea kikosoini hivi karibuni- Chelsea

September 29, 2023
Top Stories

Rais wa Urusi Vladimir Putin akutana na kamanda mkuu wa zamani wa Wagner Group

September 29, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?