Breaking News

BREAKING: Alichoongea Zitto Kabwe baada ya kukamatwa na Polisi mara mbili leo (video)

on

Moja ya taarifa kubwa za leo October 31 2017 Tanzania ni kuhusu kukamatwa mara mbili kwa kiongozi wa chama cha ACT WAZALENDO Zitto Kabwe na kupelekwa Polisi, baada ya kuachiwa Zitto Kabwe ameongea na Waandishi wa habari, bonyeza play kwenye hii video hapa chini

.

Soma na hizi

Tupia Comments