AyoTV

VIDEO: Aliyoyazungumza Zitto Kabwe baada ya kuhojiwa na polisi Dar es salaam

on

Leo June 08 2016 Kiongozi wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amefika Makao makuu kanda maalum ya Dar es salaam, ikiwa ameitikia wito wa polisi. Zitto amefika kituoni hapo na ametakiwa atoe maelezo kuhusiana na maudhui ya hotuba ambayo aliitoa June 5 2016.

>>>’nimesikitika tu kwamba sasa hivi tumefikia hali ambayo unapoenda kwenye mikutano kama kiongozi wa siasa unaanza kufikiria useme nini au usiseme nini, hali ambayo haikuwepo kwa takribani miaka 10 iliyopita tulikuwa huru kabisa kuweza kueleza mawazo yetu na hatua mbalimbali za kisiasa’.

Unaweza kutazama video hii hapa chini

ULIIKOSA  ALICHOONGEA ZITTO KABWE BAADA YA WANAFUNZI 7000 WA UDOM KUITWA VILAZA? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments