Michezo

Zlatan apata majeraha yanaweza hitimisha maisha yake ya soka

on

Mshambuliaji wa AC Milan Zlatan Ibrahimovic ,38, ameripotiwa kuumia mguu wake (achilles tendon Injury) wakati akifanya mazoezi na timu yake ya AC Milan kwa ajili ya maandalizi ya kurejea kwa Serie A.

Jeraha la Zlatan linadaiwa kuwa linaweza kuhitimisha Safari ya soka ya Zlatan kama itathibitika kaumia zaidi huku mkataba wake AC Milan ukimalizika mwisho wa msimu 2019/20 wakati wa majira ya joto.

Zlatan alijiunga na AC Milan mwezi January 2020 kama mchezaji huru na kusaini mkataba wa miezi sita kuitumikia AC Milan ikimalizia msimu wa 2019/2020.

Soma na hizi

Tupia Comments