Michezo

Alichokifanya Zlatan Ibrahimovic wakati Mourinho akihojiwa

on

c3876090-bf8d-11e3-b476-cf0b92cb44df_BkvUgtLCUAA8InMMuda mfupi baada ya mechi ya jana Chelsea vs PSG ambapo Chelsea walishinda 2-0 na kwenda hatua ya nusu fainali ya Champions League, kocha Jose Mourinho alikuwa akihojiwa na vyombo vya habari uwanjani lakini ghafla alitokea mshambuliaji wa PSG Zlatan Ibrahimovic na kumtakia kila la kheri Mourinho kwenye hatua inayofata.
[youtube youtubeurl=”MUIxFTyqIM8″ ][/youtube]

Tupia Comments