Wakati dunia ikiendelea kulaani machafuko yanayoendelea Afrika Kusini kutokana na wenyeji kuwashambulia wageni, kilichochukua nafasi kubwa kwenye vyombo vya habari kwa sasa ni ishu ya raia wa kigeni waliokuwemo ndani ya nchi hiyo kuanza kurudi kwenye nchi zao.
Zimbambwe ni miongoni mwa nchi za Afrika ambazo watu wao wameathirika kwenye machafuko hayo, tayari watu 400 wamerudi nyumbani kwao kwa usafiri wa mabasi ya abiria.
Moja ya taarifa iliyopewa uzito leo ni ishu ya Watanzania waliokuwa Afrika Kusini kurudishwa TZ kutokana na machafuko hayo.
Serikali yarejesha raia 18 kutoka Yemen na wengine 21 toka S.Afrika kutokana na nchi hizo kuwa na machafuko #SHUHUDA>http://t.co/Xf3hTOWwsz
— millardayo.com (@millardayo) April 23, 2015
Unahitaji chochote ninachokipata kisikupite? jiunge na mimi kwenyeTwitter,Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter InstaFB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa>>>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.