Mix

Matokeo rasmi ya uchaguzi Zambia yatangazwa

on

Leo August 15 2016 Tume ya uchaguzi nchini Zambia imemtangaza aliyekuwa rais wa Zambia, Edgar Lungu  kuwa mshindi wa nafasi ya urais kwa tiketi ya chama cha Patriotic Front kwa awamu ya pili.

Lungu alijipatia asilimia 50.35 ambazo ni kura 1, 860, 877 na Kumshinda mpinzani wake Hakande Hichilema wa chama cha United Party  for National Development ambaye amepata asilimia 47.67  ambazo ni kura 1, 760, 347 

Imeelezwa kuwa awali chama chake cha UNDP kilijiondoa katika shughuli ya uhakiki kura akidai kuwa kulikuwa na udanganyifu.

ULIKOSA KUITAZAMA VIDEO YA  WATUMISHI 99% WA BUNGE  KUHAMIA  DODOMA NA 1% KUBAKI DSM? UNAWEZA KUIONA VIDEO NIMEKUWEKEA HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments