Mix

Picha 12 kutokea Zanzibar kwenye uchaguzi wa Marudio, hali ya utulivu ikoje?, Rais Shein?

on

Leo march 20 2016 Wananchi wa Zanzibar wamepata fursa ya kupiga kura na kuwachagua viongozi wao, na hii ni baada ya kufutwa kwa uchaguzi wa awali uliofanyika october 25 2016.

Viongozi mbalimbali pia wamejitokeza na kutumia nafasi hiyo akiwemo Rais wa Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein, Makamu wa Rais wa Tanzania Samia Suluhu na wengine

IMG-20160320-WA0033

Waziri January Makamba akiongea na waandishi wa habari

IMG-20160320-WA0034

Rais Dk.Ali Mohamed Shein akipiga kura

IMG-20160320-WA0031

.

IMG-20160320-WA0030

Rais Dk.Ali Mohamed Shein katika foleni kusubiri kupiga kura

IMG-20160320-WA0029

IMG-20160320-WA0028

Wananchi wakisubiri kupiga kura

IMG-20160320-WA0026

.

IMG-20160320-WA0021

Makamau wa Rais Samia Suluhu akipiga kura

IMG-20160320-WA0011

IMG-20160320-WA0010

IMG-20160320-WA0002

IMG-20160320-WA0016

Rais Shein akihakiki jina lake

 Ilikupita hii video ya Rais Magufuli kayatoa masaa 360 wanaolipwa mishahara feki kushughulikiwa?

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter,FB,Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FBYOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments