AyoTV

VIDEO: Rais Shein na Mama Samia Suluhu walivyoshiriki kupiga kura March 20, 2016

on

March 20 2016 ni siku iliyokuwa ikisubiriwa na Wanazanzibar ili kuikamilisha fursa ya kikatiba kwa kuchagua viongozi wawapendao akiwemo Rais, Wabunge na Madiwani, hii inafuatia kufutwa kwa matokeo ya awali katika uchaguzi uliofanyika October 25 2015 kwa madai kuwa kulikuwa na kasoro zilizojitokeza wakati wa kupiga na kuhesabu kura.

Leo watu mbalimbali wakiwemo viongozi wa nchi kama vile Rais wa Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein, Makamu wa Rais wa Tanzania Samia Suluhu na wengine..

Ilikupita hii Video ya Kilichomchekesha Rais Magufuli japokuwa alikua kavaa sura ya kazi IKULU ?

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter,FB,Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FBYOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments