Top Stories

UZURI WA ZANZIBAR! Hapa ni Ngome Kongwe (+Pichaz 27)

on

Zanzibar ni moja kati ya Vituo vya Utalii Duniani na hutajwa sana kutokana na muonekano wake wa kuvutia na sifa yake hasa kutokana na uwepo wa majengo ya kale ambayo huvifanya Visiwa hivyo kupendwa sana na Watalii.

Kama umewahi kufika au haujawahi kufika na una mpango wa kwenda basi anza na hizi picha nilizokusogezea kutoka Ngome Kongwe ili ukifika Zanzibar ujue unaanzia wapi!!!

NGOMA ZA JADI! Kitu Wamasai wamefanya mbele ya Dr Tulia Mbeya

Soma na hizi

Tupia Comments