Video Mpya

VideoMPYA: Baada ya ‘Take Me Higher’ sasa Wini katuletea ‘Nimedata’

on

Muimbaji Wini ambaye anafanya muziki wa Bongolfeva amekuletea shabiki yake wimbo wake mpya unaoitwa ‘Nimedata’ ambao umekuja na video yake. Karibu kuitazama kwa ku-Play video hapa chini.

VIDEO: Familia ya Marehemu Pancho yafafanua kwanini sura ya Pancho haikuonyeshwa msibani

Soma na hizi

Tupia Comments