Burudani

Style aliyotumia Diamond Kumuwish Wema Sepetu kwenye birthday yake

on

Leo September 28 ni birthday ya Staa wa Bongo Fleva Wema Sepetu  watu wengi wamempost katika mitandao yao mbalimbali ya kijamii kumtakia heri kwenye siku yake hiyo.

Moja wa watu waliokuwa wakisubiriwa wampost Wema ni ex-boyfriend wake Diamond Platnumz ambaye kama ilivyosubiriwa alipost picha ya wema akiwa na Idris Sultan katika page yake ya instagram na kuandika “Happy Birthday Madam”.

Watu malimbali walipita na kuweka comment zao kwenye post hiyo ambapo mmoja kati ya walio comment ni Soudy Brown ambaye aliuliza kama Idris naye ni madam.

Ulipitwa na hii? Team Wema walivyomsuprise Wema kwenye siku yake ya kuzaliwa

Soma na hizi

Tupia Comments