Kazi yangu ni kuhakikisha hupitwi na chochote ndio maana natumia muda wangu kukusanyia matukio mbalimbali kuanzia Ofisini, Barabarani, Mitaani mpaka kwenye Mitandao mbalimbali ya kijamii kisha nakusogezea karibu kupitia millardayo.com.
Moja ya story amayo inamake headlines leo July 11, 2017 ni pamoja na hii ya ajali ya ndege ya jeshi iliyotokea Marekani ambayo imesababisha vifo vya watu 16 ingawa haijaelezwa chanzo chake.
Diwani wa CHADEMA kata ya Ngabobo Arumeru, Solomon Laizer amejiuzulu nafasi yake na kutangaza kumuunga mkono Rais Magufuli na serikali yake. pic.twitter.com/TytMnAzCWi
— millardayo (@millardayo) July 11, 2017
Risiti ya Bank inayoonesha Tsh. Milioni 40.4 zilizorudishwa na Waziri wa zamani na Mbunge wa Sengerema William M. Ngeleja #MillardAyoUPDATES pic.twitter.com/yNiZUeXyFG
— millardayo (@millardayo) July 11, 2017
Wanasayansi nchini New Zealand wameonesha kwa mara ya kwanza kwamba ipo chanjo inayoweza kutoa kinga dhidi ya ugonjwa wa Kisonono. #BBC pic.twitter.com/ikea92B5lZ
— millardayo (@millardayo) July 11, 2017
Mtoto wa Rais Trump amevishambulia vyombo vya habari vinavyyosema kuna wakili Mrusi alisema anazo habari mbaya za kumchafua Hillary Clinton. pic.twitter.com/OMLlcnAagA
— millardayo (@millardayo) July 11, 2017
Takriban watu 16 wamefariki kwenye ajali ya ndege ya jeshi nchini Marekani, hakuna taarifa rasmi kuhusu kilichosababisha kutokea ajali hiyo. pic.twitter.com/2YoKr7luQO
— millardayo (@millardayo) July 11, 2017
Kwa mujibu wa Eco Experts na Weather, Kenya Tanzania, Ethiopia, Mozambique na Cameroon ndio nchi zenye kiwango kidogo zaidi cha sumu duniani pic.twitter.com/UyLuAoOyMe
— millardayo (@millardayo) July 11, 2017
EXCLUSIVE: Staa wa Bundesliga mwenye asili ya Tanzania kwa nini anachezea Denmark na sio Tanzania? Majibu yapo kwenye VIDEO hii…bonyeza PLAY kutazama!!!