AyoTV

VIDEO: Ujumbe wa Zitto Kabwe kwa Waziri Nape

on

Hii ilikuwa May 13 2016 baada ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo  kuwasilisha  Bungeni makadirio ya mapato na matumizi ya fedha kwa mwaka 2016/2017 . Hotuba iliyosomwa na Waziri Nape Nnauye ambapo kiwango kilichoombwa ilikuwa ni Sh. 20,326,176,000.

Wabunge mbalimbali walipata time ya kuchangia bajeti hiyo huku kila mmoja akilenga upande aliouona yeye, hapa nimekusogezea video ya Mbunge wa Kigoma Zitto Kabwe yeye alikuwa na haya..

ULIIKOSA HII  YA WIZARA YA MICHEZO TANZANIA INATAKA BILIONI 20 KWENYE BAJETI IJAYO?

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments