AyoTV

VIDEO: Walichoongea Rais Magufuli na Rais Lungu wa Zambia Ikulu

on

Rais Magufuli wa Tanzania leo November 28, 2016 amekutana na kufanya mazungumzo ya kibiashara na kidiplomasia na Rais wa Zambia Edgar Lungu ambapo wamesaini mkataba mmoja kati ya minne ambayo ilitajwa, unaweza kutazama hii video hapa chini kujionea walichoongea.

ULIPITWA? Rais Magufuli alivyompigia simu Makonda katikati ya mkutano? bonyeza play hapa chini

VIDEO: Kilichomchekesha Rais Magufuli Ikulu japo alikua kavaa sura ya kazi, bonyeza play hapa chini kutazama

Soma na hizi

Tupia Comments