Mix

PICHA 8: Mtanzania anayechora ramani za nyumba na kuzitengeneza kwa mabox

on

Kijana Ibrahim Zacharia kutoka Ngaramtoni, Arusha ni moja  kati ya vijana wa kitanzania waliobarikiwa kuwa na vipaji vingi na vya namna ya pekee ikiwemo uwezo wake wa kuchora ramani ya nyumba na kuzitengeneza kwa kutumia malighafi ya mabox na ubunifu wa mavazi mbalimbali.

Hapa jamaa ametisha kwa kuutengeneza mji wenye nyumba za mabox ambazo zina umeme na muonekano mzuri wa kupendeza.

Nimekuwekea hapa chini picha 8 na nakuomba ukimaliza kuzicheki niachie comment yako hapo chini…

VIDEO: Kama hukumuona, huyu hapa kijana mtanzania anayetengeza nyumba za mabox na kuziua. Bonyeza play kutazama.

Soma na hizi

Tupia Comments