Mix

PICHA 10: Muonekano wa mitaa mbalimbali ya mji wa Lindi

on

Najua nina watu wangu ambao wanapenda kuifahamu mitaa au miji mbalimbali ndani na nje ya nchi kwa malengo mbalimbali ya kujifunza na kujiandaa kwa ajili ya safari katika maeneo hayo.

Leo April 12, 2017 nakusogezea hizi picha 12 za muonekano wa mitaa ya mbalimbali ya Mkoa wa Lindi uliopo Kusini mwa Tanzania.

Unaweza ukatazama hapa ujionee muonekano wa mitaa ya Lindi…

On Air: ‘Wema Sepetu atabaki kama Dada, Angehama CCM 2020 hapo sawa’ Ridhiwani Kikwete. Bonyeza play kutazama.

Soma na hizi

Tupia Comments