Mwimbaji Zuchu kutoka WCB ametangaza list ya Wasanii wataomsindikiza kwenye show yake ya Home Coming inayotarajiwa kufanyika August 21 2021 kwenye uwanja wa Amani Zanzibar.
Zuchu anatimiza mwaka mmoja na miezi mitatu toka alipotambulishwa rasmi na kusainiwa na Record label ya WCB April 2020.Wasanii waliotajwa kwa sasa ni Juma Jux, Mr Blue, Lulu Diva, Khadija Kopa, Baba Levo, Gigy Money na Dulla.
ZUCHU ALIVOCHEZA NGOMA ZA KWAO ZANZIBAR, SHANGWE ZA BODABODA APOKELEWA NA MSAFARA