Mix

PICHA 16: Eric Omondi na MC Pilipili walivyochekesha mastaa King Solomon

on

Usiku wa June 26, 2017 katika Ukumbi wa King Solomon  Hall Masaki DSM kulikuwa na onyesho kubwa la Standing Comedy ambapo mastaa wa vichekesho kutoka Afrika Mashariki walikutana kuwavunja mbavu mashabiki wao.

Mastaa Eric Omondi na Teacher Mpamire kutoka Kenya waliungana na MC Pilipili, Katarina wa Karatu, Dogo Pepe na Mau Fundi wa Tanzania huku wakisindikizwa na The Kilimanjaro Band ‘Wana Njenje’.

Soma na hizi

Tupia Comments