Top Stories

Zurii House Of Beauty inawania Tuzo Consumer Choice Awards Afrika

on

Kampuni ya ZURII HOUSE OF BEAUTY inayojishughulisha na uuzaji wa bidhaa mbalimbali za ngozi, pafyumu, mafuta ya nywele na bidhaa nyingine imechaguliwa kuwania tuzo za Consumer Choice Awards Afrika, kipengele cha Fast Moving Consumer Goods of the year kwenye kipengele cha Most Preferred Beauty Product Dealer of the Year.

Kutokana na kuchaguliwa huko, Mkurugenzi Mtendaji wa Zurii House of Beauty, Jestina Meru amewaomba wateja wake kuipigia kampuni hiyo kura ili kuweza kuibuka na ushindi kaika kinyang’anyiro hicho.

Tunakuja mbele yenu kwa unyenyekevu mkubwa na kuomba kura zenu ili tuweze kuibuka washindi” Jestina Meru

Meru amesema kuwa ili kuiwezesha Zurii House of Beauty kuibuka mshindi wateja wanapaswa kubonyeza kwenye hii link >>> https://ccawardsafrica.co.tz/vote-for-fast-moving-consumer-goods-in-tanzania/ itakupeleka moja kwa moja sehemu ya kupiga kura.

“Kupiga kura naomba bonyeza hapa >>> https://ccawardsafrica.co.tz/vote-for-fast-moving-consumer-goods-in-tanzania/ itakupeleka moja kwa moja kwenye page shuka chini kwenye kipengele cha Most Preferred Beauty Product Dealer Of The Year chagua Zurii House Of Beauty amesema Meru

Pia, Meru amewashukuru wateja na wafanyabiashara akisema anatambua kuwa wana mchango mkubwa katika mafanikio yao

Tunatanguliza shukurani zetu za dhati kabisa kwenu wateja wetu wote na wafanyabishara wenzetu maana bila nyie tusinge weza kufikia hatua hii” Jestina Meru

Zurii House of Beauty ndio vinara katika tasnia ya urembo nchini Tanzania ukiachilia uuzaji wa vipodozi kwa ajili ya wanawake na waume, Zuri wanachuo kwa ajili ya kufundisha masuala ya urembo nchini na wametoa wabobezi katika tasnia hii ya urembo na kuipa thamani nchini

Soma na hizi

Tupia Comments