Habari za Mastaa

“Wasanii tutazunguka Tanzania nzima kuitangaza” – Steve Nyerere

on

Wasanii mbalimbali wa tasnia ya Filamu Tanzania wakiongozwa na mwigizaji Steve Nyerere leo September 16, 2017 wamekutana na Waandishi wa habari kuzindua Kampeni ya Uzalendo Kwanza ambao una lengo la kuitangaza na kuilinda Tanzania katika kuwaunga mkono viongozi wakuu wa Tanzania akiwemo President Magufuli, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu.

MPIGAPICHA CHINI YA MTI! Ana ndoto siku moja aajiri vijana wenzake

Soma na hizi

Tupia Comments