fB insta twitter

Baada ya picha zilizozua gumzo Instagram Faiza Ally amepata mtoto leo

on

Siku moja baada ya Faiza Ally kusikika kwenye U heard ya XXL ya Clouds FM akitolea ufafanuzi kuhusu picha zake za utata alizopost kwenye Instagram yake, sasa leo ipo good news inayomuhusu baada ya kujifungua salama mtoto.

Kupitia Instagram yake leo August 3, 2017 Faiza Ally amethibitisha kuwa amebahatika kujifungua mtoto, akiweka picha ya mtoto huyo na kuweka maneno ya kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuandika>>>”ALHAMDULILLAH ?? @lijunior_well come to the world baby ?”

Tuesday Kihangala ‘Mr Chuz’ naye amezungumza kuhusu hali ya Jini Kabula 

Maneno ya Rais wa Shirikisho la Filamu Mwakifamba baada ya taarifa za Jini Kabula 

Soma na hizi

Tupia Comments