Habari za Mastaa

NOMA!! Hii ndio Magoroto iliyokuwa shamba, leo eneo la utalii

on

Kama uliwahi kusikia kuhusu Magoroto eneo ambalo linapatikana Muheza Tanga mahali ambapo palikuwa shamba la mazao ya biashara toka enzi ya ukoloni lakini kwasasa sehemu ya eneo hilo imekuwa sehemu ya utalii ambayo watanzania wengi wamekuwa wakiongoza kwenda kutembelea eneo hilo.

Sasa millardayo.com na AYO TV zinakukaribisha kuifahamu zaidi Magoroto historia yake ikoje? na ni vivutio vipi vinapatikana huko. Bonyeza PLAY hapa chini kutazama.

EXCLUSIVE: Godzilla kafunguka kutumia Dawa za kulevya, mapenzi yanamtesa..?

Soma na hizi

Tupia Comments