Habari za Mastaa

PICHA 10: Diamond Platnumz alivyowasili Clouds FM leo

on

September 19, 2017 mwimbaji staa wa Bongofleva Diamond Platnumz alifika Clouds FM ambako alihojiwa kwenye Leo Tena na kufunguka ishu nzima kuhusu yeye kuzaa na mwanamitindo Hamisa Mobetto.

millardayo.com imezinasa picha 10 za Diamond Platnumz wakati akiingia Clouds kuhojiwa.

BAADA YA KUZAA NA HAMISA: Zari amuonya Diamond “USINIJARIBU”

DIAMOND: “Nilimpa HAMISA laki 5 kila wiki kwa ajili ya mtoto”

Soma na hizi

Tupia Comments