Top Stories

BREAKING NEWS! Nyumba za Polisi Line, Arusha zinateketea kwa moto

on

Habari iliyonifikia kutoka Arusha usiku huu wa September 27, 2017 ni kuwa moto umezuka na kuteketeza Nyumba za Polisi Line zilizopo Kata ya Sekei, Arusha, chanzo cha moto huo bado hakijajulikana.

Endelea kukaa na Ayo TV na millardayo.com kwa UPDATES kila zitakaponifikia!

ULIPITWA? Taarifa aliyoitoa Jaji Mkuu wa Tanzania kwa wanahabari

Soma na hizi

Tupia Comments