Top Stories

Zitto Kabwe amtangaza Juma Duni Haji ‘Babu duni’ kuwa Msaidizi wake

on

Leo March 26, 2019 Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe ametangaza kumteua Juma Duni Haji maarufu kama Babu Duni kuwa Naibu Kiongozi wa Chama hicho.

Akizungumza na waandishi wa habari makao makuu ya ACT-Wazalendo Zitto Kabwe amesema “Kuanzia leo kwa Mamlaka niliyopewa na Katiba ya Chama chetu na Vikao vya Chama Cha ACT Wazalendo tumemteua Juma Duni Haji kuwa Naibu Kiongozi wa Chama Cha ACT Wazalendo” 

LIVE: ZITTO KABWE AJIBU ISHU YA MSAJILI KUTAKA KUKIFUTA CHAMA CHA ACT WAZALENDO

LIVE: ZITTO KABWE AJIBU TUHUMA ZILIZOTAJWA KWENYE BARUA YA MSAJILI WA VYAMA

Soma na hizi

Tupia Comments