AyoTV

Mbunge Zitto Kabwe anataka kuyaona haya kwenye siku 100 za uongozi wa Rais Magufuli.. (+Video)

on

Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Zuberi Kabwe nae yumo kwenye wale ambao wameapishwa na watawakilisha watu wao ndani ya Bunge Dodoma kwa kipindi cha miaka mitano.

Nimempata kwenye exclusive interview na AyoTV, unajua mipango yake siku 100 Jimboni Kigoma? Anachotaka Rais Magufuli akifanye ndani ya siku 100? Majembe anayoyaona CCM?

Majibu yake haya hapa kwenye video ya dakika tano za Zitto Kabwe mwenyewe.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE kwa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments