Fastjet
Coke Studio
Mwana FA na AliKiba - Kiboko Yangu _ mkito.com
BBA - Vote for Idris
Home » Articles posted by Millard Ayo

Author Archives: Millard Ayo

About Millard Ayo

Unataka kuwa karibu na kila stori inayonifikia? niko tayari kukutumia kwenye twitter, instagram na facebook. Natumia jina hilohilo @millardayo, links nimeziweka hapa chini.

Na Mkubwa Fella kaingia kwenye siasa… unachotakiwa kufahamu kwa sasa kiko hapa

Listi ya mastaa au watu maarufu wa Tanzania ambao wametangaza kujiingiza kwenye siasa imezidi kuongezeka ambapo leo boss wa kundi la TMK Wanaume Said Fella, ametangaza kwa mara ya kwanza nia yake ya kujiingiza katika siasa na kwa sasa amevaa...
Read More »

Kila kitu kina utafiti wake siku hizi, huu ni wa Wanawake wanaonyanyaswa barabarani

Utafiti uliyofanywa hivi karibuni kutoka majiji kadhaa makubwa duniani umeonyesha kwamba kumekuwa na unyanyasaji wa kutisha wa Wanawake katika vyombo vya usafiri. Utafiti huo uliofanywa na mfuko wa Thomson Reuters Foundation umeonyesha Wanawake sita kati ya kumi katika majiji makubwa...
Read More »

Mwanamke aweka historia ya kubeba mimba miezi tisa bila kujua

Mara nyingi ni vigumu kwa mwanamke kugundua kuwa ameshika mimba katika siku za mwanzo za mtungo hadi pale atakapokosa kuoa siku zake za hedhi. Pamoja na kwamba kuna wale ambao hasa wenye ujauzito wa kwanza na wasiojitambua hugundua wakiwa na...
Read More »

Umeisikia stori ya fisi kuvunja ndoa huko Singida?

Amakweli duniani kuna mambo sikia hii… Mkazi wa kitongoji cha Itigi Mkoani Singida ameamua kumrejesha mkewe kwa wazazi wake akimtuhumu kuwa ni mvivu na mfujaji wa mali zake baada ya kushindwa kudhibiti kundi la fisi kushambulia na kuua ndama wa...
Read More »

Nyingine kubwa ya leo, Daraja kutoka Zanzibar mpaka Dar

Unaweza ukadhani ni ndoto lakini hii ni habari ya kweli baada ya Hifadhi ya jamii NSSF kutangaza uwezekano wa kujengwa daraja la kihistoria zaidi litakalounganisha Dar es salaam na Zanzibar. Uwepo wa daraja hilo unaweza kuwa ni neema kwa Watanzania...
Read More »

Msiba mwingine wa mwigizaji Bongo Movie 2014.

Wiki moja  baada ya kutokea kwa msiba wa mmoja wa wasanii wa TMK Wanaume Family YP na saa chache baadaye ukatokea msiba mwingine wa aliyekuwa msanii wa maigizo na vichekesho Sherry Mwana, leo Oktoba 30 umetokea msiba mwingine Bongo Movie....
Read More »

Shule yampiga marufuku mwanafunzi kuhudhuria masomo kwa hofu ya Ebola.

Stori kuhusiana na watu wanaotengwa kwa kuhisiwa kuwa wana maambukizi ya Ebola bado zimeendelea kusikika kutoka sehemu mbali mbali duniani, ambapo kwa sasa mzazi mmoja ameifungulia mashtaka shule kutokana na shule hiyo kumzuia mtoto wake wa kike asihudhurie masomo shuleni...
Read More »

Hawa ndio mastaa wanaogombea Ubunge jimbo moja kupitia vyama tofauti.

Taarifa kuhusiana na mastaa mbali mbali ikiwemo wa muziki, filamu, na michezo kuingia katika headline zinazowazungumzia kujihusisha na siasa sio taarifa ngeni kuzisikia, ambapo kwa sasa mastaa wa movie wanaingia kwenye headline nyingine ya wao kwa wao kugombea nafasi ya...
Read More »

Kurasa za mwanzo na mwisho magazetini leo October 30 2014

Kama kawaida millardayo.com inakupa vichwa vya habari vya magazeti yote ya kila siku. Leo pia kuna headline mpya kwenye magazeti mbalimbali. Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye kurasa za mbele za magazeti ya leo Ni halali yako kupata kila...
Read More »

Sekunde 90 za rapper Chidi Benz Mahakamani.

Rapper Chidi Benz ameachiwa kwa dhamana na Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu Dar es salaam baada ya kutimiza masharti ambayo ni pamoja na kupeleka Wadhamini wawili na shilingi milioni moja za Kitanzania ikiwa ni kutokana na kukamatwa na dawa za...
Read More »

Dakika zako 4 unaweza kuzitumia kwenye hii video mpya ya M2theP

Mikono mingine ya Director mwingine kutoka kwenye kiwanda cha video za bongofleva ndio imehusika kuisuka hii video mpya ya ‘siabonga nkosi’ ya M2TheP ft. Watoto wa Mandela. Ni single nyingine tena kutoka kwa M2TheP ambae kila jina lake linapotajwa wengi...
Read More »

Kilichomkuta ‘aliyemdiss’ refa wa kike.

Makamu wa Rais wa shirikisho la mpira wa miguu kaunti ya Northumberland, Uingereza John Cummings amesimamishwa kwa kipindi cha miezi 4 kwa kosa la kumwambia mwamuzi wa kike kuwa sehemu anayopaswa kuwapo mwanamke ni jikoni na sio katika uwanja wa...
Read More »
Scroll To Top