Ratiba ya mechi za Ligi Kuu Tanzania bara, Uingereza na Hispania October 17 na 18
Baada ya mapumziko ya Ligi mbalimbali duniani ili kupisha mechi za kalenda…
Baada ya miaka miwili Anthony Martial karudisha heshima hii Man United…..
Klabu ya Manchester United ya Uingereza kwa miaka miwili sasa ilikuwa haijawahi…
Pichaz za Yaya Toure, Fabregas, Mephis Depay na Zlatan enzi zao utotoni.
Kama kawaida mtu wangu wa nguvu kila siku ya Alhamisi huwa nakuletea…
Kwani Ronaldo anastaafu lini soka? nimelipata jibu leo..
Mshambuliaji wa kimataifa wa Ureno anayekipiga katika klabu ya Real Madrid ya…
Kwanini Danny Mrwanda hajasaini na club kubwa alafu akaenda Iringa?
Kama ulikua hujui, mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Dar es salaam…
Kuanzia sasa hivi, wakali wa Arsenal ni mwendo wa suti tu wanapoingia uwanjani..!!
Klabu ya Arsenal ya Uingereza ambayo inafundishwa na kocha raia wa Ufaransa…
Haya ni maamuzi ya Man United ambayo yalimkera Patrice Evra …
Beki wa kimataifa wa Ufaransa Patrice Evra ambaye amewahi kuitumikia klabu ya Manchester United…
Pichaz za Simba walivyojiandaa kuikabili Mbeya City Jumamosi hii
Weekend hii Ligi Kuu soka Tanzania bara inaendelea kwa michezo kadhaa kupigwa…
Cristiano Ronaldo katwaa kiatu cha nne cha dhahabu na kuweka rekodi hii (+Pichaz)
Mshambuliaji wa kimataifa wa Ureno na klabu ya Real Madrid ya Hispania…
Huu ndio mchango wa mwisho wa Rais Kikwete katika michezo, kataja sababu zinazokwamisha maendeleo ya michezo Tanzania (+Audio)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Jakaya Mrisho Kikwete ni…