Jeshi la Israel linasema wanajeshi 50 wameuawa huko Gaza tangu kuanza kwa vita
Jeshi la Israel siku ya Alhamisi lilitangaza vifo vya wanajeshi wengine wawili…
Congo yakabiliwa na changamoto za kiusalama kabla ya uchaguzi mkuu wa Desemba
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) inajiandaa kwa uchaguzi mkuu utakaofanyika tarehe…
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa linatoa wito wa ‘kusitishwa muda wa mapigano’ huko Gaza
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limepitisha azimio linalotaka kusitishwa kwa…
Mlipuko wa kipindupindu waenea nchini Sudan huku vita ikiendelea
Shirika la Kuratibu Misaada ya Kibinadamu la Umoja wa Mataifa (OCHA) Jumatano…
Liberia:Joseph Boakai aongoza kwenye uchaguzi
Kinara wa upinzani nchini Liberia, Joseph Boakai yupo mbele kwenye matoke ya…
Kura za maoni zafunguliwa katika uchaguzi wa rais wa Madagascar ,wapinzani wasusa
Kufuatia amri ya kutotoka nje usiku na maandamano ya wiki kadhaa, upigaji…
sheria ya kutotoka nje katika mji mkuu wa Madagascar kuelekea uchaguzi
Madagascar ilitangaza sheria ya kutotoka nje siku ya Jumatano katika mji mkuu…
DRC: WHO yawalipa waathiriwa wa kingono
Shirika la afya duniani WHO, limewalipa wanawake 104 waathiriwa dhulma za kingono…
Chuo kikuu cha ardhi kwa kushirikiana na Chong Ching Vocational Institute of engineering cha wakubaliana kuwajengea uwezo wahandisi
Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Prof Adolf Mkenda amebainisha kuwa dhumuni…
Mfanyabiashara wa Tanga amlilia Waziri Mkuu Majaliwa “Nimedhulumiwa”
Mfanyabiashara wa jijini Tanga, Sultan Salim, amemuomba Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, kuingilia…