Israel iko tayari kuwahamisha watoto kutoka hospitali ya al Shifa
Waziri Mkuu anasema Sasa tunasikia kutoka kwa mshauri mkuu wa Waziri Mkuu…
Vita sasa vimeingia katika hatua yake ya pili-Israel
Nchini Israel, takriban watu 1,400 wameuawa na wengine 6,900 wamejeruhiwa tangu Oktoba…
Mohamed Salah afikisha mabao 200 katika soka la Uingereza
Mohamed Salah amekuwa mchezaji wa kwanza wa Liverpool kufunga katika kila mechi…
Maelfu waandamana mjini Cape Town kwa mshikamano na Wapalestina
Makumi kwa maelfu ya Waafrika Kusini walishiriki maandamano mjini Cape Town siku…
Uamuzi wa kusalia Manchester United ulikuwa sahihi-Maguire
Harry Maguire alisema uamuzi wake wa kubaki Manchester United na kupigania nafasi…
Hamas yakanusha kukataa mafuta kutoka Israel kwa hospitali ya al Shifa
Kundi la wapiganaji wa Kipalestina limekanusha madai kutoka kwa Israel kwamba ilizuia…
India:Zaidi ya wafanyikazi 30 wamekwama chini ya kifusi kufuatia maporomoko ya ardhi
Zaidi ya watu 30 wamenasa baada ya mtaro wa barabara iliyokuwa chini…
Hamas wakataa lita 300 za mafuta kutoka kwa IDF kwaajili ya hospitali ya Al-Shifa: jeshi la Israeli
Jeshi la Ulinzi la Israel limesema kuwa limesambaza lita 300 za mafuta…
Uganda:Wanajeshi watimuliwa kazi kwa uoga katika shambulio kwenye kambi
Mahakama ya kijeshi nchini Uganda imewapata maafisa wawili na hatia ya uoga…
Wanajeshi 5 wa Marekani wafariki baada ya ndege ya kijeshi kuanguka wakati wa operesheni ya mafunzo
Wanajeshi watano wa jeshi la Marekani waliuawa wakati ndege ya kijeshi ilipoanguka…