Qatar yafanya upatanishi wa kusitisha vita kwa siku 3 kwa ajili ya kuachiwa mateka 12 Gaza
Duru moja iliyo karibu na Hamas imeripoti kuwa Qatar inafanya upatanishi kwa…
Barcelona yamuunga mkono Xavi huku kukiwa na wito wa mabadiliko ya meneja
Barcelona wana imani "kabisa" na Xavi Hernandez na nafasi yake kama kocha,…
Mafuriko yawaacha watu 300,000 bila makazi Somalia
Mafuriko ya karibuni nchini Somalia yameua watu 29 na kupelekea wengine laki…
Inter ina nia ya kumpata Konate
Mkurugenzi Mtendaji wa Inter Milan Giuseppe Marotta amethibitisha kuwa klabu yake inamfuatilia…
IDF inadai kumuua kamanda mwingine wa Hamas katika shambulio la anga
Jeshi la Ulinzi la Israel limedai kumuua kamanda mwingine mkuu wa Hamas,…
Real Madrid wajiondoa kwenye mbio za kumnasa Mbappe
Real Madrid hawana nia tena ya kumsajili mshambuliaji wa Paris Saint-Germain Kylian…
Ethiopia: mapigano katika mji mtakatifu wa Orthodox wa Lalibela
kumekuwepo na mapigano tangu Jumatano asubuhi kati ya wanamgambo na vikosi vya…
Mwanamume wa Nigeria auawa katika jaribio la hirizi ya kuzuia risasi
Mwanamume mwenye umri wa miaka 43 ameuawa kwa kupigwa risasi katika jimbo…
Changamoto za Biashara kati Tanzania na Zambia kutatuliwa
Tanzania na Zambia zimekubali kutatua changamoto 25 za kibiashara zilizopo ifikapo Novemba…
Tanzania na Zambia wasaini makubaliano kuondoa changamoto za kibiashara
Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt. Hashil Abdallah akiwa…