Saudi Arabia kuwa mwenyeji wa mkutano wa kilele kuhusu Gaza
Saudi Arabia imekuwa mwenyeji wa mikutano mitatu tofauti ya mataifa ya Kiarabu…
Serikali kusimamia mifumo inayounganisha sekta ya maliasili na utalii ili kuongeza mapato
Mbunge wa Jimbo la Ushetu Emmanuel Cherehani ameishauri Serikali kusimamia mifumo inayounganisha…
Hakuna unga, mafuta, maji kaskazini mwa Gaza, inasema UN
Umoja wa Mataifa umethibitisha kufungwa kwa maduka yote ya mikate na unga…
Mgogoro wa kiafya wa Gaza huku kukiwa na vita vinavyoendelea
Kulingana na ripoti ya Reuters, kuna wastani wa wagonjwa 350,000 walio na…
Idadi ya vifo katika tetemeko la ardhi nchini Nepal yaongezeka hadi 157
Habari kutoka polisi wa Nepal inasema tetemeko la ardhi lililotokea usiku wa…
WHO: Watu milioni 1.3 wafariki kwa magonjwa yanayohusiana na Kifua Kikuu
Ripoti ya ugonjwa wa Kifua Kikuu (TB) ya mwaka 2023 iliyotolewa jana…
Walinda amani wa UM na jeshi la DRC waanza operesheni ya pamoja dhidi ya waasi
Msemaji wa katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Bw. Stephane Dujarric amesema…
UDSM, Codesria wajadili uhuru wa kitaaluma, demokrasia na maendeleo endelevu katika bara la Afrika
Chuo kikuu cha Dar es Salaam kimeipongeza serikali ya jamhuri ya muungano…
Tunajenga miradi kwa fedha nyingi inakwama kutoa huduma kisa uharibifu vyanzo vya maji “RC Malima
Mkuu wa Mkoa Morogoro Adam Malima ameonesha kukerwa na watu wanaofanya uharibifu…
UM yaonya kuhusu mafuriko yanayoendelea kushuhudiwa nchini Somalia
Umoja wa Mataifa, umeonya kuhusu mafuriko yanayoendelea kushuhudiwa nchini Somalia, wakati huu…